Idara hii inajihusisha na kutoa huduma ya Ushauri wa kisaikolojia wa jamii na kutoa misaada ya kiutu kwa watoto yatima na wajane.