IDARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII INAJIHUSISHA NA :
Idara hii inasimamiwa na Bi REHEMA
1. Kutoa Ushauri kwa watu mbalimbali hasa wale wenye mioyo na nafsi zilizoumizwa .
Ushauri kwa Vijana
Ushauri kwa wanandoa
2.Kutoa Misaada ya kiutu kwa watoto yatima na wajane na wagane