Friday, 22 April 2016

HUDUMA INAYOTOLEWA KATIKA ZA IDARA HII

IDARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII INAJIHUSISHA NA :
 Idara hii inasimamiwa na Bi REHEMA

1. Kutoa Ushauri kwa watu mbalimbali hasa wale wenye mioyo na nafsi zilizoumizwa .
    Ushauri kwa Vijana
    Ushauri kwa wanandoa
2.Kutoa Misaada ya kiutu kwa watoto yatima na wajane na wagane

No comments:

Post a Comment